Siha na Maumbile | Tatizo la kuoza na kuharibika kwa meno

  • | Citizen TV
    341 views

    Kuharibika ama kuoza kwa meno kumetajwa kuwa sababu ya pili inayowaathiri watu wengi zaidi baada ya homa ya mafua. Katika Makala ya Siha na mumbile hii leo, Mwanahamisi Hamadi anaangazia tatizo hili ambalo madaktari wa meno wanasema japo linaanza kama maumivu, linapokithiri huishia na mauivu makali na hata mara nyingine kusababisha magonjwa mengine.