Katibu wa kawi atetea kupanda kwa gharama ya umeme

  • | Citizen TV
    543 views

    Huku wakenya wakiendelea kulalamikia kupanda kwa gharama ya bei ya umeme, serikali inashikilia kuwa nyongeza hii imechangiwa pakubwa na kupanda kwa dola na hata wizi wa umeme unaoendelezwa nchini