Wadau wa afya ya watoto wakutana Meru

  • | Citizen TV
    224 views

    Wahudumu wa afya ya watoto Kaunti ya meru wanapokea mafunzo na vifaa vya Matibabu ya watoto walio na umri wa Chini ya siku 10. Hatua hiyo kupunguza idadi ya vifo vya watoto kaunti ya Meru. Mpango huo unafanikishwa na Serikali ya Kaunti ya Meru kwa ushirikiano na Muungano wa Mashirika kuhusu afya ya watoto barani Afrika. Gregory Muriithi anahudhuria kikao hicho na kwa sasa tunaungana naye mubashara kwa maelezo zaidi