Ziwa Bogoria imeanza kurejelea hali ya zamani

  • | Citizen TV
    793 views

    Ziwa la Bogoria limeanza kurejelea hadhi yake ya zamani baada ya manthari yake kuharibika kutokana na mabadiliko ya tabianchi miaka mitatu iliyopita.