Waziri wa mazingia atetea ukataji miti

  • | Citizen TV
    393 views

    Waziri wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi Soipan Tuya anasisitiza kuwa kuondolewa kwa marufuku ya kukata miti misituni hatutaathiri hali ya misitu nchini. Akizungumza katika eneo la North Horr kaunti ya Marsabit, waziri huyo amesema kuwa ukataji miti hautafanyika kwenye misitu asili.