Serikali ya kaunti ya Nairobi yakabidhiwa majiko 10 ya kupika shuleni

  • | Citizen TV
    164 views

    Majiko 10 chini ya Mpango wa kutoa lishe kwa zaidi ya wanafunzi 250,000 katika kaunti ya Nairobi yatakabidhiwa serikali ya kaunti mwisho wa mwezi Agosti.