KPA yashinikza ujenzi wa nyumba za kulala Lamu

  • | Citizen TV
    1,607 views

    Halmashauri ya bandari nchini KPA imeshinikiza wakaazi wa Lamu kuchukua fursa na kuekeza zaidi katika ujenzi wa nyumba za kulala karibu na maeneo ya bandari hiyo. Mkurugenzi mkuu wa bandari ya Lamu Vincet Sidai akisema baada ya meli kutia nanga katika bandari ya Lamu ambapo zaidi ya watu 600 wamekosa maeneo ya malazi.