Waziri Kindiki azuru tena Jumba la Nyayo

  • | K24 Video
    90 views

    Waziri wa usalama wa ndani Profesa Kithure Kindiki ametangaza kwamba mrundiko wa maombi elfu 40 ya hati za kusafiria katika idara ya uhamiaji, utashugulikiwa katika siku 10 zijazo. Waziri huyo pia ameelezea kwamba wizara yake inanuia kukabili tatizo la kucheleweshwa kwa vyeti vya nidhamu vinavyotolewa na idara ya upelelezi wa jinai kwa wakenya. kindiki amesema hayo wakati alipofanya ziara nyingine katika idara ya uhamiaji katika jumba la Nyayo jijini Nairobi.