Familia ya Sospeter kutoka Bungoma yataka mwanawao kurejeshwa nyumbani kutoka malasya

  • | TV 47
    12 views

    Familia moja kutoka eneo bunge la Kanduyi Kaunti ya Bungoma inalilia msaada wa kuokoa mwanao wa kiume baada ya kukwama nchini malaysia alikokuwa ameenda kusaka ajira. Inaarifiwa kuwa Sospeter Ngahu mwenye umri wa miaka 35 na kifungua mimba wa familia ya watoto watatu pamoja na wenzake wanne waliondoka nchini tarehe 18 mwezi wa nne mwaka huu kuelekea nchi ya malaysia kupitia wakala wao ila masaibu yalianza baada ya kubadilishiwa wakala aliyewapeleka kufanya kazi za sulubu bila malipo.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __