Mwanamke Bomba | Attiya Faiz anatoa mafunzo ya mazoezi ya viungo

  • | Citizen TV
    763 views

    Mwanamke Bomba hii Leo ni Attiya Faiz maarufu kama Coach 001. Attiya ambaye ni mzaliwa wa mombasa aliyehamia uingereza amejitosa katika shughuli ya kutoa mafunzo ya mazoezi ya viungo na anahudumia wanawake wengi kutoka sehemu mbalimbali kupitia mtandao. Patrick Kanga alipata fursa ya kukutana naye alipokuja humu nchini mwezi uliopita na kuandaa simulizi ifuatayo