- 561 viewsViongozi wa dunia waliofarakanishwa na vita, mabadiliko ya hali ya hewa na muendelezo wa kukosekana usawa wamekusanyika katika sehemu moja Jumanne kumsikiliza mkuu wa UN akiwataka wachukue hatua ya pamoja kukabiliana na changamoto kubwa za kibinadamu – na kuanza kuwasilisha tathmini yao kuhusu masuala muhimu yaliyoko katika majukwaa ya ulimwengu “Dunia yetu inaelekea kuwa inayumba. Mivutano ya kisiasa ya kieneo inaongezeka. Changamoto za kimataifa zinarudikana. Na inaelekea hatuwezi kuungana pamoja kukabiliana nazo,” Antonio Guterres amewaambia watu wanaoendesha mataifa ya ulimwenguni. Hivi sasa tunaelekea katika dunia iliyogawanyika na hili kwa namna nyingi ni jambo chanya. Inaleta fursa mpya za uadilifu na uwiano wa mahusiano ya kimataifa. #unga #voaunga #unga78 #AntonioGuterres - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Katibu Mkuu wa UN awataka viongozi wa dunia kuungana, akieleza dunia inaelekea inayumba
- 14 Jul 2025 - The U.S. Federal Aviation Administration and Boeing (BA.N) have privately issued notifications that the fuel switch locks on Boeing planes are safe, a document seen by Reuters showed and four sources with knowledge of the matter said.
- 14 Jul 2025 - The National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (NACADA) plans to implement stricter rules on the sale and consumption of alcohol and drug abuse.
- 14 Jul 2025 - Leaders allied to President William Ruto have supported the call for dialogues championed by ODM party leader Raila Odinga as they asked the opposition leaders led by former deputy president Rigathi Gachagua to stop imaging of ascending to power through…
- 14 Jul 2025 - A small plane has crashed at a London regional airport, the police and Southend London airport announced Sunday, forcing its closure.
- 14 Jul 2025 - Cameroon's President Paul Biya, the world's oldest serving head of state at 92, will run for re-election in this year's presidential vote on October 12, a post on the president's X account said on Sunday.
- 14 Jul 2025 - The disruption will begin this week.
- 14 Jul 2025 - The former leader died aged 82 in London.
- 14 Jul 2025 - Kenya University ad Colleges Central Placement Service (KUCCPS) has officially opened the 2025 the Inter-Institutional Transfer application.
- 14 Jul 2025 - At least four others were seriously injured in the accidents
- 14 Jul 2025 - A magnitude 6.7 earthquake struck Monday off eastern Indonesia, the US Geological Survey said, but a monitor said there was no tsunami threat. The quake epicentre was at a depth of 80 kilometres (50 miles) around 177 kilometres west of the city of Tual…