Mvutano wa mikutano ya 'okolea' Meru

  • | K24 Video
    148 views

    Wawakilishi wadi 27 kutoka mrengo wa Kenya Kwanza wameanza mpango mwengine wa kumbandua mamlakini, gavana wa Meru kawira mwangaza. Haya yanajiri siku chache baada ya rabsha kuzuka eneo bunge la Igembe kusini wakati wa hafla ya okolea inayoongozwa na gavana mwangaza, iliyosababisha uharibifu wa mali na wanahabari kushambuliwa. Waziri wa usalama Kithure Kindiki ameagiza kusitishwa kwa mikutano yote ya okolea lakini gavana mwangaza ameapa kukiuka agizo hilo