Gavana wa Kilifi amepiga marufuku kutengwa kwa kiasi kikubwa cha pesa kugharamia mafunzo na mikutano

  • | KBC Video
    12 views

    Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro amepiga marufuku kutengwa kwa kiasi kikubwa cha pesa kugharamia mafunzo na mikutano inayohusishwa na miradi na badala yake pesa hizo zielekezwe kwa utekelezaji wa miradi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News