Mwili wa mgonjwa aliyeuawa KNH wafanyiwa upasuaji

  • | Citizen TV
    488 views

    Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Edward Maingi aliyefariki katika hospitali ya kuu ya kenyatta amefikishwa mahakamani. Upande wa mashtaka ukiomba siku ishirini na moja ili kukamilisha uchunguzi wao. Baadhi ya sababu za kumzuia mshukiwa ni kuwa ni hatari kwa usalama wa wagonjwa iwapo atarudishwa hospitali ya Kenyatta pamoja na usalama wake mwenyewe