Wakazi wa Nyatike wamepinga uchapishaji wa ardhi ya zaidi ya ekari elf-61 wakisema ni ardhi ya msitu

  • | KBC Video
    14 views

    Wakazi wa eneo la Macalder katika kaunti ndogo ya Nyatike wameelekea mahakamani wakilalamika kuhusu uchapishaji wa ardhi yao ya zaidi ya ekari elf-61 kwenye gazeti la serikali wakisema eneo hilo ni ardhi ya msitu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News