Fainali ya mchuano wa Safaricom Chapa Dimba kanda ya Nyanza kung’oa nanga Jumamosi

  • | Citizen TV
    242 views

    Fainali ya mchuano wa Safaricom chapa dimba kanda ya Nyanza itang’oa nanga siku ya jumamosi katika uwanja wa moi Kisumu huku timu nane zikishiriki kutafuta tikiti ya mashindano ya kitaifa.