Zaidi ya familia 5,000 Diani zataka ardhi kupimwa huku ekari 960 ikigawanyiwa wakazi

  • | Citizen TV
    349 views

    Zaidi ya familia elfu tano katika eneo la Diani kaunti ya Kwale zinashinikiza serikali kupima upya ardhi ya ekari 960 na kuwapa hati miliki za mashamba. Wakaazi hao wanadai ardhi hiyo ya Block 10 iliyo chini ya Diani Complex iliagizwa kupimwa tangu wakati wa utawala wa hayati Rais mstaafu Daniel Arap Moi mwaka wa 1979 lakini hilo halijafanyika hadi sasa. Wakaazi hao sasa wakidai mabwanyenye wanaendelea kujipatia vipande vya mashamba kwa njia isiyo halali