- 251 viewsHamas, ni kifupi cha Harakat al-Muqawama al-Islamiya (“Kikundi cha Harakati za Kujihami cha Kiislam”), kilichoanzishwa na Sheikh Ahmed Yassin, mwanazuoni wa Kipalestina. Ni harakati za wanamgambo na moja ya vyama vikuu viwili vya kisiasa katika eneo la Palestina. Hamas inawaongoza zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Ukanda wa Gaza, lakini kikundi hicho ni maarufu zaidi kwa operesheni zake za silaha dhidi ya Israeli. Darzeni ya nchi zimeitaja Hamas ni taasisi ya kigaidi, ijapokuwa baadhi kitengo chake cha kijeshi ni cha wanamgambo. Mnamo mwaka 1997, Marekani ilikitaja kikundi cha Hamas kuwa taasisi ya kigeni ya kigaidi. Wapalestina wana eneo dogo la kujitawala huko Ukingo wa Magharibi na wamegawanyika kati ya utawala unaoungwa mkono na Magharibi na Kikundi cha Kiislam cha Hamas chenye silaha ambacho kinakataa kuishi pamoja na Waisraeli. Hivi leo, Iran inaaminika kuwa moja ya wafadhili wakubwa kabisa wa Hamas, wakichangia fedha, silaha na mafunzo. #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas
Hamas ni nini?
- 17 May 2024 - A vaunted 'new era' of strategic partnership between Russian President Vladimir Putin and his counterpart Xi Jinping begun in Beijing on Thursday may not exactly have been sealed with a kiss, but it did lead to rare hugs between them.
- 17 May 2024 - Approximately 200 Kenyan police officers will be deployed to Haiti next week as part of the UN Security Council-backed security mission to Port-au-Prince.
- 17 May 2024 - Increased demand for residential properties in Kenya’s coast has seen prices soar by more than 400pc with the market now rivaling properties in Nairobi City where wealth is concentrated.
- 17 May 2024 - Taiwanese lawmakers shoved, tackled and hit each other in parliament on Friday in a bitter dispute about reforms to the chamber, just days before President-elect Lai Ching-te takes office without a legislative majority.
- 17 May 2024 - Principal Secretary for Medical Services, Harry Kimtai, Friday held discussions with a delegation from the World Health Organization (WHO), led by Dr. Abdourahman Diallo, Country Representative to Kenya. The meeting focused on aligning mutual goals…
- 17 May 2024 - During his visit, Ruto will have several engagements, including a high-level meeting with investors.
- 17 May 2024 - The New Democrats (TND) Party Leader said the unity of the people of Mt Kenya region is paramount
- 17 May 2024 - Kenyan woman battles American man in court over the custody of four-year-old child.
- 17 May 2024 - Mco-op Cash Mobile wallet played a pivotal role in driving non-funded income streams.
- 17 May 2024 - Take our quiz to test how well you understood the week's most important stories.