- 1,948 viewsDuration: 2:45Mzozo ulishuhudiwa kaunti ya Kakamega kufuatia tofauti za wagombea kiti cha ubunge cha Malaba. Tofauti zilidhihirika baada ya Mgombea Caleb Burudi, kuzuiwa kuhutubia kikao cha wanahabari baada ya kutangazwa rasmi kwa mpinzani wake Seth Panyako, kuwa mgombea wa chama cha DAP - K kwenye uchaguzi huo. Haya yamejiri huku waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akionya makundi ya vijana yanayotumiwa na wanasiasa dhidi ya kuzua rabsha