- 3,457 viewsDuration: 3:09Msichana aliyedhaniwa kuzikwa miezi minane iliyopita ameduwaza kijiji kizima huko Nyaribari Chache baada ya kurejea nyumbani akiwa mzima. Sarah Kwamboka amejitokeza baada ya mazishi yake kuandaliwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya kuripotiwa kuhusika kwenye ajali ya barabarani.