18 Sep 2025 8:21 pm | Citizen TV 364 views Duration: 52s Timu ya wanawake ya kenya chini ya miaka 20, rising starlets waliondoka kwenda Ethiopia kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa kombe la dunia la fifa chini ya miaka 20 dhidi ya wenyeji siku ya Jumapili mjini addis ababa, Ethiopia.