- 413 viewsDuration: 2:22Vuta nikuvute kati ya wabunge na serikali kuhusu Mfumo mpya wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Serikali imeendelea leo huku waziri wa hazina kuu John Mbadi akisisitiza mpango utaendelea. Huku wabunge wakishikilia kuwa mfumo huo hauwezi kufanikishwa kwa sasa, Waziri Mbadi naye akishikilia kwamba ndio Bora wa kupambana na ufisadi kwa kuweka zabuni za ununuzi peupe.