Siha na Maumbile | Ugonjwa wa tego usababishao malengelenge (Herpes)

  • | Citizen TV
    548 views

    Ugonjwa wa tego usababishao malengelenge au herpes ni mojawapo wa magonjwa ambayo huchukua muda mrefu sana kabla ya kutambulika kwa sababu dalili zake hazidhihiriki haraka.

    Katika Siha na Maumbile hii leo, tunazungumza na Daktari Newton Muchiri kutoka kituo cha Equity Afia huko Kinoo na anatueleza mengi kuhusu ugojwa huu