19 Sep 2025 1:05 pm | Citizen TV 456 views Duration: 1:18 Naibu wa rais profesa kithure kindiki amekutana wa wahudumu wa afya ya jamii zaidi ya 6,500 kutoka kaunti ya meru na kuwahakikishia kuwa serikali itatekeleza mkataba wa kuboresha hali ya maisha yao.