- 10,146 viewsDuration: 3:25Maafisa wa usalama katika kaunti ya Samburu,,wamemtia mbaroni mshukiwa mmoja wa wizi wa kimabavu,anayeamika kuongoza kikosi Cha wahuni waliojihami Kwa bunduki. Watuhumiwa walivamia duka moja mjini Maralal, wakamjeruhi mhudumu wa duka hilo na kutoweka na shilingi Elfu themanini na tano siku chache zilizopita