Skip to main content
Skip to main content

Watoto zaidi ya 15 wanaswa katika miji ya Mororo na Madogo kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    3,968 views
    Duration: 2:09
    Watoto zaidi ya kumi na watano kutoka vitongoji duni vya Mororo na mji wa Madogo kaunti ya Tana River wamenaswa kwenye oparesheni ya kuwasaka watoto wenye umri wa kwenda shule lakini badala yake wanarandaranda na kujiusisha na biashara ya vyuma vikukuu.