19 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 326 views Duration: 3:40 Shule ya msingi ya Mnengwa, Mwatate Taita Taveta, imepata afueni ya maji safi baada ya miaka ya ukame . Hata hivyo, changamoto za miundomsingi duni, usalama na ustawi wa wanafunzi, hasa wa kike, bado zinawatatiza wakazi.