19 Sep 2025 1:36 pm | Citizen TV 290 views Duration: 1:42 Serikali ya Ireland imetangaza ushirikiano na Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kupitia mwamvuli wa jumuia ya Uropa kuimarisha elimu ya wanafunzi ng’ambo.