19 Sep 2025 1:46 pm | Citizen TV 0 views Baadhi ya wakulima katika eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wameitaka serikali ya kaunti hiyo pamoja na wahisani kuwasaidia ili waweze kuendeleza kilimo endelevu.