- 309 viewsDuration: 1:27Wabunge kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameeleza wasiwasi wao kuwa huenda wakulima wa mahindi wasipate faida licha ya bidii yao, kutokana na serikali kushindwa kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wanapata soko la uhakika msimu huu wa mavuno.