- 2,069 viewsDuration: 1:29Naibu Rais Kithure Kindiki amewarai wakazi wa eneo la Mlima Kenya wasikubali kuhadaiwa na wapinzani kumtema rais william ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kindiki amesema kuwa wanaoendelza siasa za wantam hawana ajenda yoyote ya maendeleo ilhali wengi wao wamekuwa kwenye uongozi na hawakuwafanyia wananchi lolote. Haya ni huku viongozi wengine wa kenya kwanza wakiendelea kumpigia debe rais katika eneo la Mlima Elgon.