22 Sep 2025 1:19 pm | NTV Video 1,344 views Duration: 4:03 Uchaguzi mdogo wa kiti cha bunge ya Malava kimekosa mwaniaji mwanamke na vijana. Wengi wa vijana wanasema wazee ambao wamechukua nafasi hizo ni kutokana na uwezo wa kifedha.