22 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 1,805 views Duration: 1:27 Familia moja huko Syokimau kaunti ya Machakos inaulaumu usimamizi wa shule ya syokimau blessed assurance academy baada ya mtoto wao wa umri wa miaka 11 kufa maji akiwa kwenye jaribio la kuogelea shuleni humo.