22 Sep 2025 1:13 pm | Citizen TV 840 views Duration: 3:39 Hatimaye mzozo wa zaidi ya miaka 50 unaozingira ardhi ya Kijamii ya Kibiko iliyoko Ngong kaunti ya Kajiado umefikia kikomo ambapo kwa sasa mchakato wa ugavi wa ardhi na utoaji wa hatimiliki kwa wanachama