Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa hospitali za kibinafsi wasitisha huduma za bima ya SHA kufuatia ukosefu wa malipo

  • | NTV Video
    898 views
    Duration: 1:27
    Muungano wa hospitali za kibinafsi jijini na mashinani, RUPHA umetangaza kusitishwa kwa huduma za bima ya SHA kufuatia ukosefu wa malipo kutoka bima hiyo.