Skip to main content
Skip to main content

Mwenye hisa mkuu wa Directline SK Macharia ateuwa wasimamizi wapya wa Directline

  • | Citizen TV
    87 views
    Mwenyekiti wa Royal Media Services na mwenye hisa mkuu wa kampuni ya bima ya Directline Daktari S.K. Macharia ameteua maafisa wapya watakaosimamia oparesheni katika kampuni ya Directline.