- 231 viewsDuration: 1:03Ni afueni kwa wakazi wa kitui kusini baada ya serikali ya kaunti ya kitui kwa ushirikiano na shirika la World Vision kuzindua mradi wa maji wa Kangukangu . Mradi huo umegharimu kima cha shillingi million 840, serikali ya kitui ikichangia asilimia 51 na shirika la world vision asilimia 49. huu Ni mojawapo ya miradi mikubwa kitui kusini itakayosaidia wakazi kumaliza tatizo la ukosefu wa maji.