- 235 viewsDuration: 2:13Walimu wakiongozwa na muungano wa kutetea maslahi ya walimu wa shule za sekondari KUPPET wamejitokeza haswa katika kaunti ya kericho kuweka wazi hisia zao baada ya TSC kushirikiana katika azma ya kuwahamisha kutoka kwa bima ya afya ya Minet .