22 Sep 2025 1:25 pm | NTV Video 159 views Duration: 1:04 Serikali inawataka viongozi wa makanisa kushirikiana nao kukabili matumizi ya dawa za kulevya, ukatili wa kijinsia, magenge ya uhalifu, ujambazi na ugaidi.