22 Sep 2025 1:35 pm | Citizen TV 512 views Duration: 3:10 Kama mojawapo ya njia za kuileta pamoja jamii yenye watu wachache na iliyotengwa ya iteso, wazee wa jamii hiyo wamemuidhinisha mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya kuwa msemaji wa jamii hiyo ili kupata usemi nchini.