Skip to main content
Skip to main content

Raila awaonya wabunge wa ODM kuhusu urais 2027

  • | Citizen TV
    10,343 views
    Duration: 2:53
    Kinara wa odm raila odinga sasa anasema chama hicho hakijatoa mwelekeo kuhusu kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, akiwataka wanachama wanoeneza uvumi kwamba haitakuwa na mgombea kukoma. Akizungumza alipoandaa kikao na wabunge wa odm, odinga pia aliwasuta baadhi ya wanachama wake wanaopinga ushirikiano na serikali.