- 10,036 viewsDuration: 2:53Kinara wa odm raila odinga sasa anasema chama hicho hakijatoa mwelekeo kuhusu kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, akiwataka wanachama wanoeneza uvumi kwamba haitakuwa na mgombea kukoma. Akizungumza alipoandaa kikao na wabunge wa odm, odinga pia aliwasuta baadhi ya wanachama wake wanaopinga ushirikiano na serikali.