23 Sep 2025 10:10 am | Citizen TV 203 views Duration: 2:09 Wanamazingira na wavuvi katika kaunti ya Kwale wamependekeza marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki ijumuishe chupa za plastiki kwa lengo la kupunguza uchafuzi wa mazingira hususan maeneo ya baharini.