23 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 3 views Wakulima pamoja na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa wamehimizwa kutumia taarifa kutoka wataalamu wa hali ya hewa ipasavyo ili kuhepuka hasara na majanga kabla kutokea.