23 Sep 2025 10:15 am | Citizen TV 122 views Duration: 2:15 Wakulima pamoja na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa wamehimizwa kutumia taarifa kutoka wataalamu wa hali ya hewa ipasavyo ili kuhepuka hasara na majanga kabla kutokea.