- 1,149 viewsDuration: 2:45Wagonjwa wanaotafuta huduma katika hospitali za kibinafsi sasa watalazimika kujilipia bili baada ya huduma za bima ya SHA kusimamishwa. Muungano wa hospitali za kibinafsi za mijini na mashinani RUPHA ukisema kuwa hatua yake inatokana na madeni ya zaidi ya shilingi bilioni 10 ambayo hayakulipwa mwezi uliopita..