23 Sep 2025 10:24 am | Citizen TV 113 views Duration: 1:35 Katika juhudi za kuhimiza wakulima wa Laikipia kukumbatia kilimo cha kahawa, utawala wa kaunti hiyo, umeanza kusambaza miche ya mibuni kwa wakulima ambao wameonyesha nia ya kuwekeza katika kilimo hicho.