23 Sep 2025 10:46 am | Citizen TV 538 views Duration: 1:56 Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imeanza rasmi uchunguzi kuhusu madai ya uajiri wa madaktari mia tano katika kaunti ya Siaya, unaodaiwa kufanyika kinyume cha sheria.