Naibu Rais Rigathi Gachagua ashinikizwa kuingilia katikati mgogoro wa uongozi Kiambu

  • | TV 47
    39 views

    Baadhi ya wakilishi wadi Kaunti ya Kiambu sasa wamemtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuingilia kati ubabe wa kisiasa ambao umekuwa ukishudiwa kati ya Gavana wa Kaunti hiyo Kimani Wamatangi na Mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungw’a.

    Baadhi ya viongozi wasema kuwa mgogoro huo utaathiri maendeleo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __