Serikali kuu na serikali ya kaunti ya Kilifi kujenga miundomsingi

  • | Citizen TV
    175 views

    Kaunti ya Kilifi inatazamiwa kuwa na muonekano wa kupendeza kupitia miundomisingi ya kisasa baada ya serikali kuu kuzindua awamu ya pili ya kuboresha sehemu za makaazi na mabanda katika miji kadhaa ya kaunti hiyo.